Vipeperushi company
Vipeperushi company ni kampuni bora na yenye uzoefu wa kutoa
huduma za urushaji na usambazaji wa matangazo Tanzania.Vipeperushi
iliyoanzishwa mwaka 2011 imekuwa ikikuwa kwa kasi siku baada ya siku na kupata
wateja kila kona ya nchi kutokana na
huduma zake zilizo bora na za kisasa.
Kampuni hii ya kizalendo inatoa huduma zifwatazo:
·
Usambazaji wa matangazo madogo madogo yasiyo na
picha kwenye mitandao.
·
Usambazaji wa matangazo yenye picha katika
mitandao .
·
Uungaji wa kampuni kwenye mtandao ya kijamii.
·
Utafiti wa idadi ya watu wanaoijua kampuni
yako,au bidhaa yako.
·
Utafiti wa eneo linafaa kuanzisha biashara
yako. N.k
Huduma zote hizi zinatolewa kwa ustadi mkubwa na kwa wakati.
Tembelea website yetu kwa maelekezo zaidi
pia unaweza piga simu + 255 71359224 au +255 767 592224
kumbuka :bidhaa zaweza kufanana kabisa ,mauzo yakatofautiana
kutoka ni nani kati yenu kawekeza vizuri kwenye matangazo.maana::::
“biashara ni matangazo”
No comments:
Post a Comment